Ooh! Pole.Usumbufu kijana wangu niliomaliza nae chuo ndiyo alikua ananitumia
JamanSiku moja moja una mkunja shati kidogo
Aiseee
Chaaa!
Mbona mkavu hivyo huyo kaka?
Umekula neema za uongozi tangu chuo,Nilicheza tulikuwa 15 wasichana alafu nilikuwa naibu waziri wa Michezo chuo yaani kucheza ni lazma japo kwa kulazimishwa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama ni Mkrya hiyo siku lazima watu waimbe mapambio dadeki
Mwanaume aniambie hivi hata kama nilianza kumpenda nakula kona mapema sana.hatari Sana ilo tongozo sasa natka nikuoe ukikubali napeleka mahali alafu sipendi ujinga nikikuita uje kwa wakati alivo fala si akanambia alimpiga mwanamke wake Hadi akazimiaiyo sijakubali nilienda kusemea nyumbani nikasema nikijibuu hapa nitakula vibao
Yule itakuwa toleo la zamani
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Jaman
Alafu actually sipndi uongoz sabbu napenda kuwa huru pia sio muongeaji pia sipendi makelele lkn sijui ni nn had namaliza neema zilikiwa upnde wanguUmekula neema za uongozi tangu chuo,
Ulikua smart kichwani,Alafu actually sipndi uongoz sabbu napenda kuwa huru pia sio muongeaji pia sipendi makelele lkn sijui ni nn had namaliza neema zilikiwa upnde wangu
Namshukuru Mungu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Unamfundisha fujo mwenzako halafu haziweziSiku moja moja una mkunja shati kidogo
Sijawah pata huu ujasiri hata niudhiwe vipi.Una testi zali
Sasa ukivunjwa miguu usije kusema shangazi alisema
Tena usithubutu yaani ni habari nyingine sijui alikuwa anawaza Nini lkn ni nature naona ya ubabe ubabe unaomba appointment unampangia mtu na muda wa kufikaMwanaume aniambie hivi hata kama nilianza kumpenda nakula kona mapema sana.
Sioni sababu ya kupenda sehemu unakula vitasa, mapenzi hayako hivyo umeshaambiwa love is sweet not bitterMwanaume aniambie hivi hata kama nilianza kumpenda nakula kona mapema sana.
Wee kivuruge, umbea kule nshaweka mda sana.Ooh! Pole.
Chaaaaah!!!hatari Sana ilo tongozo sasa natka nikuoe ukikubali napeleka mahali alafu sipendi ujinga nikikuita uje kwa wakati alivo fala si akanambia alimpiga mwanamke wake Hadi akazimiaiyo sijakubali nilienda kusemea nyumbani nikasema nikijibuu hapa nitakula vibao
Yule itakuwa toleo la zamani
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hawa wanakuaga ngumi mkononi ukizingua kidogo tu unaloTena usithubutu yaani ni habari nyingine sijui alikuwa anawaza Nini lkn ni nature naona ya ubabe ubabe unaomba appointment unampangia mtu na muda wa kufika
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sio kwa code hizo dearWee kivuruge, umbea kule nshaweka mda sana.
Wengi mno sema wanawake nao sikuhiz wameamka wanawadunda wakat mwingineChaaaaah!!!
Kuna wanaume bado wanapiga wanawake kwa ngumi??
Aiseee
Naenda dia, thnx.Wee kivuruge, umbea kule nshaweka mda sana.
Sahihi, na nisivyopenda purukushani sasa sitaweza bwana mbabe.Sioni sababu ya kupenda sehemu unakula vitasa, mapenzi hayako hivyo umeshaambiwa love is sweet not bitter