Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Njoo basi tuongee nakutumia usafiri.Aisee iyo kuapproach tu jamaa anakwambia nakuomba uje tuongee saa nane mchana nakutumia usafir [emoji23][emoji23][emoji23]ndugu yangu hata sijaringa kidogo kha hata sijakubali siyawezagi hayo [emoji38]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yaan codes rahis kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi nimetoka kapa. Fanya namna
Namshangaa sophy umri umrii anawanyima nini vijanaUmri umeenda wap na wewe watu mnapenda uzee ee [emoji16]
AiseeeAisee iyo kuapproach tu jamaa anakwambia nakuomba uje tuongee saa nane mchana nakutumia usafir [emoji23][emoji23][emoji23]ndugu yangu hata sijaringa kidogo kha hata sijakubali siyawezagi hayo [emoji38]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wee yako iko wapi?Kanuni mpya unazijua unatakiwa uweke yako kuiomba pic iliyokupita
Tanteeeeeh.Vichukuee
Mimi sijaomba nikiomba nitaweka na yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee yako iko wapi?
Nilicheza tulikuwa 15 wasichana alafu nilikuwa naibu waziri wa Michezo chuo yaani kucheza ni lazma japo kwa kulazimishwaWewe sophy ni kiboko hadi football [emoji460], unachezaji football [emoji460] wakati unaoneka mtoto laini wewe wa Kizanzibari
Watumishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tunawatumishi wengi humu, haka kasehemu ndiyo maana kana upako, ukiwa na kauchovu ukaja kuperuzi humu unajikuta uchovu unapungua
Bado kinda kabisa.Namshangaa sophy umri umrii anawanyima nini vijana
hapo sawaNilicheza tulikuwa 15 wasichana alafu nilikuwa naibu waziri wa Michezo chuo yaani kucheza ni lazma japo kwa kulazimishwa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2215962
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu kuna nini, kuna vipepo nini, mimi naona muda wote ukuu wa Mungu umetawala humu, watu tunapendana sana humu,Wstumishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sijaomba nikiomba nitaweka na yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwa nini uliacha kuagiza?Nimekaa sana huko enzi za shule naijua mbeya vizuri mno na naipenda, nitakuagiza mchele, aiseh mchele wa mbeya ni matatizo nilikua naagiza sana nikaja kuacha ila ukipika huo mchele jirani lazima ombe kujua umenunua wapi mchele kwa harufu tu ilivyo nzuri
Usumbufu kijana wangu niliomaliza nae chuo ndiyo alikua ananitumiaSasa kwa nini uliacha kuagiza?
Mkuu mi sijasema kitu. Let's just worship na watumishi wetu. Haleeeeluuuyaaaah!!![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu kuna nini, kuna vipepo nini, mimi naona muda wote ukuu wa Mungu umetawala humu, watu tunapendana sana humu,
Adabu halafu mnaishi kibabe tu hata hainogi[emoji19]
Raha ya mwanaume umtingishe kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096]
Kama ni Mkurya hiyo siku lazima watu waimbe mapambio dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]Siku moja moja una mkunja shati kidogo[emoji2096][emoji2096][emoji2][emoji2]