Hahah sasa kwani mi ndio sipendi kusikia nisiyoyajua jamani...
Duh...mbaya hiyo, always nimekuwa against na hizo tabia za kiswaziii...
People in here ndio hao hao waliopo nje ya hapa...
Being friends in here, kwangu huwa naona pia tunaweza kuwa friends nje ya hapa pia...maana mtu ni wewe wewe na mimi mimi...
We always fake bout other stuff but we can't fake who we real are...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoto mkali sana huyu...shingo kama hizo huwa nazitengea session yake maalum kama dk 20 hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] @sakayo
Mimi simo MkuuHii midomo ndio inaita watu mafurushi [emoji848]
Wacha we!!
Sijakataa mkuuMtoto mkali sana huyu...shingo kama hizo huwa nazitengea session yake maalum kama dk 20 hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] @sakayo
Ndio wewe hakuna cha wajina hapo tenaWacha we!!
Wajina wangu huyu au?
Naiomba basi jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii midomo ndio inaita watu mafurushi [emoji848]
Leo ulimi unateleza tuu jamani, umekula nini eti jamaniSure thing bruh, roger that.
Akuuu
Mamangu hajawahi kosea, unataka ndege iniibe eeehhh
Hakutuma banaHata mimi sina si ndiyo nilikuta kafuta eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hako kawimbo katamu. Kanaitwaje?
Mbona joke
[emoji173][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oooh! nlisahau tuma Adress dadaKhaaaaaa
Si ulisema unanitumia saa wewe??!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]mimi ni jokeri
Tatizo kala mahari kila kona
Unasahau vipi kitu muhimu hivyo jamaniOooh! nlisahau tuma Adress dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Abeeeeee....
Nakuooonaaaaa
Naomba unipe hizo emoj