Ooh yeahItabidi nifanye hivyo sina namna japo kwa browser ni mbaya yaani kufungua fungua pages huwa inaniudhi.
Miss you too babesMic u moaaah
Jamani [emoji23] sio kweliUkiselfika tu hiyo kitu inakaa sawa[emoji12]
Iko gud sanaaa yaan. [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Miss you too babes
Vipi how's your day
Yaan watumiaji wa App inatunyoosha ila hatukomi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] mwenzako yaan app angu inazingua leo, khaaah
Yaan wee acha tyuuuhYaan watumiaji wa App inatunyoosha ila hatukomi[emoji23]
App nzuri sana tatizo mizinguo mingi.Ooh yeah
Inakera kwenye kuscroll pages
Sema hivyo tunaswitch tu .. nikifuta app hii nitakuwa mvivu wa kuingia Jf.
Aah wewe picha zako hazitutaki woteMshawishi Heaven Sent aweke kwanza
Nishapoa. Mimi natumiaga zote app na browser. Hiyo picha ilinikuta kwa app sasa, ikanicostApp ndio mambo yake haya [emoji23] pole
Ooh vyema sanaIko gud sanaaa yaan. [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Yeah app ipo flexible sanaApp nzuri sana tatizo mizinguo mingi.
Mnooooh, [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Ooh vyema sana
Siku imeaanza vizuri
Ukirudi kwa browser nambie niselfikeNishapoa. Mimi natumiaga zote app na browser. Hiyo picha ilinikuta kwa app sasa, ikanicost
Haya selfika, nimesharudiUkirudi kwa browser nambie niselfike
Jamani nimekimbia hivi na nimekosa [emoji23][emoji23].......
Mmmmmh yaan ushafuta mda khaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3].......
Una makusudi wewe, kidevu ndiyo Cha kufuta sasa? Nikajua unapost kitu Cha laivu nkamu.......
Nilikua na kuona ulivyokua unabofya kitufe cha ku refresh🤣🤣🤣Una makusudi wewe, kidevu ndiyo Cha kufuta sasa? Nikajua unapost kitu Cha laivu nkamu