I second you...Hahah sasa kwani mi ndio sipendi kusikia nisiyoyajua jamani...
Duh...mbaya hiyo, always nimekuwa against na hizo tabia za kiswaziii...
People in here ndio hao hao waliopo nje ya hapa...
Being friends in here, kwangu huwa naona pia tunaweza kuwa friends nje ya hapa pia...maana mtu ni wewe wewe na mimi mimi...
We always fake bout other stuff but we can't fake who we real are...
AiseeAtasikia, ila sijui kwa sasa anachepukia wapi. Anapenda sana kuchepuka.
@Atoto njoo
Tatizo wewe umelock banaPoa nicheki kule
Ndio.unaona aibu wewe?
KhaaaaaaHata mimi sikumbuki, ila labda kweli?
Kipi kiku aibishacho?Ndio.
[emoji23][emoji23][emoji23]hizi Mocassin?
Atoto yupi huyo?
Nimekununia semegi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jamani
Usinifanyie hivyo mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atoto yupi huyo?
🙂[emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059]aise guu la project