Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha hata wewe kakaangu?? Nilisikia eti kuna mtu alisambaza inayodaiwa kuwa ni picha yake!!
Hahah sasa kwani mi ndio sipendi kusikia nisiyoyajua jamani...

Duh...mbaya hiyo, always nimekuwa against na hizo tabia za kiswaziii...

People in here ndio hao hao waliopo nje ya hapa...

Being friends in here, kwangu huwa naona pia tunaweza kuwa friends nje ya hapa pia...maana mtu ni wewe wewe na mimi mimi...

We always fake bout other stuff but we can't fake who we real are...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…