Mungu wangu weee!!!! Hadi koo limeshtuka, huo ulanzi jaman khaaah.Acha tumwagilie moyoView attachment 2211839
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo bum bum mwezi MayLeo IPO lasha tu,maana kuna kubwa kuliko
Madogo zangu 3,wote wamezaliwa mwezi mmoja wa 5 kasoro tarehe,,,tunamsubiri mmoja amalize kukokotoa mapepa ya six tufanye jambo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaaan siyo mkangafu wala mtogwa sana, mnono huooooMungu wangu weee!!!! Hadi koo limeshtuka, huo ulanzi jaman khaaah.
Mama wee!! Yaan hadi kiu imekuja ghafla, afu huo uliogemwa kwa mbeta iliyokomaa, daaaah
Aseeeh umeniumiza mnoo, yaan had mate yamejaa mdomoni.
We acha tu,In'shaaAlah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo bum bum mwezi May
Mweeeh unakunywa hivyo?Mungu wangu weee!!!! Hadi koo limeshtuka, huo ulanzi jaman khaaah.
Mama wee!! Yaan hadi kiu imekuja ghafla, afu huo uliogemwa kwa mbeta iliyokomaa, daaaah
Aseeeh umeniumiza mnoo, yaan had mate yamejaa mdomoni.
Nini bana na wewe! Mwaliko wa EID hukunipa, umemkumbuka babu yako tu! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Eid bado ipo makame si wajua kwetu ni wiki moja yakheee[emoji23]Nini bana na wewe! Mwaliko wa EID hukunipa, umemkumbuka babu yako tu! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
[emoji23]kwema kabisaKwa kuwa tayari nimeiona na kuthaminisha kama yaliyomo yanaweza kuwemo ifute tu
Kwema lakini mkuu
FainaliUEFA ya moto cocastic naona ushaungua sahizi..
Oh tunanyanyua kwapa na blah blah kibaoUEFA ya moto cocastic naona ushaungua sahizi..
UsijisahaulisheOh tunanyanyua kwapa na blah blah kibao
Labda wanyanyue kupunga upepo[emoji38]
Shytee [emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Endelea kuota na kupiga vyomboUsijisahaulishe
Kipigo cha mbwa koko fainali
Real madrid atanyanyua ndoo
Ulanzi huo, mweeehYaaaan siyo mkangafu wala mtogwa sana, mnono huoooo
Kilevi changu ni ulanzi dea.
Ntakuja kula cake.