Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa