Kitambaa sina uhakika ila nna fundi wangu yupo uswahili unachokiona ndiyo anakutolea ni vile tunaogopa kujulikana ningekupa no ila yupo vizuri sana sana unachompelekea ndiyo anakutolea na hana bei
Mkuu usiwe na khofu!
1. Niko kwenye mfungo
2. Nimekwenda mara moja kwa mambo ya kielimu zaidi
3. Wajukuu zako itakuwa wapo pale maeneo ya Kayenze, mara nyingine nikienda nitawacheki (Nifaidi uumbaji)
Mkuu usiwe na khofu!
1. Niko kwenye mfungo
2. Nimekwenda mara moja kwa mambo ya kielimu zaidi
3. Wajukuu zako itakuwa wapo pale maeneo ya Kayenze, mara nyingine nikienda nitawacheki (Nifaidi uumbaji)