Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2206371
Nawaza naweza nikapata kitambaa kama hiki Tanzania na fundi mzuri wa kunishonea kama huyu mrembo
au duka linauza nguo kama hii

Kitambaa sina uhakika ila nna fundi wangu yupo uswahili unachokiona ndiyo anakutolea ni vile tunaogopa kujulikana ningekupa no ila yupo vizuri sana sana unachompelekea ndiyo anakutolea na hana bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…