Mie sina neno,uwanja wakotupingeine alafu uone moto wetu... [emoji91][emoji91][emoji91] tunawapakata vizuri kabisa wachumba..
Uzuri mnakula hizi ✌️Huwezi kuacha Jf labla ubadili id nyingine 😬😬
Jiandae mapema na mazoezi ufanye 😎😎😎
Mie sina neno,uwanja wako
Muda unaongea[emoji23]
Nasubiri kuona alizeti zinavyochakatwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa zilipendwa au dear exJiandae mapema na mazoezi ufanye 😎😎😎
Tutaona,leo sitizami mpira kabisa nazima data,
Mnakula hizi 2 - 1 kajilaze tu mwenyewe kwenye machela kabla hujalazwa hakuna namna zaidi ya kula 2Tutaona,leo sitizami mpira kabisa nazima data,
Maana nisjejikuta nipo kwenye machela[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Tutaona,leo sitizami mpira kabisa nazima data,
Maana nisjejikuta nipo kwenye machela[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki presha,nikimaliza kufturu tu kulala[emoji23],sijui usingizi nitapata[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakuja ufute hizi comment zako[emoji1787]Mnakula hizi 2 - 1 kajilaze tu mwenyewe kwenye machela kabla hujalazwa hakuna namna zaidi ya kula 2
Mimi mwenyewe sifuatili leoSitaki presha,nikimaliza kufturu tu kulala[emoji23],sijui usingizi nitapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema nije na ya rangi gani.. ukijiandaa kula 11 zako 😅😅😅Sawa zilipendwa au dear ex
Kawaida tu mkuu!!
Nitakule maji tukumwagie ili uzinduke sahahu nyie kushinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakuja ufute hizi comment zako[emoji1787]
Tulia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mie sifuatilii,nitajua tu kupitia kelele. Simba au ni yanga[emoji3061]Mimi mwenyewe sifuatili leo
Nikisikia makelele huko nje najua goli tayari hapa [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpira bado ujue[emoji1787]Nitakule maji tukumwagie ili uzinduke sahahu nyie kushinda
Tupo wengi hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]mie sifuatilii,nitajua tu kupitia kelele. Simba au ni yanga[emoji3061]
Sent using Jamii Forums mobile app
mnakufa mbili, jiandae tu kisaikolojia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpira bado ujue[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app