Hongera umeitunza
Mimi kuna biblia nimeichukua kwa mtu sasa ina miaka kumi na sita ..naipenda ina mafundisho mazuri kuhusu ndoa na mahusiano kiujumla .
Hongera umeitunza
Mimi kuna biblia nimeichukua kwa mtu sasa ina miaka kumi na sita ..naipenda ina mafundisho mazuri kuhusu ndoa na mahusiano kiujumla .
Nilikabidhiwa Biblia kubwa rasmi nilivyoenda shule secondary .
Huku nyuma nilikuwa natumia Biblia ndogo almaarufu kama Agano jipya.. ensign hizi za Sunday school.
Hongera pia,itunze.
Mimi ni heri nimpe mtu hela akanunue Biblia ila siyo kumpa Biblia yangu.