hapa nimejifunika na nimefanikiwa kuzalisha joto hata kichwa hakitoki ndani ya ma blanketi . Ukitoa kichwa ulipigwa na baridi hadi kurudisha joto ni mda
kuna wazamburi kutoka musoma na mwanza .. huwa wanatoa kitu kwenye pipa kwanza 😀😀😀 gunia huwa linaisha ndani ya siku tano... huwa nabaki nacheka tu.. kwao huwa kama party