Bageshiii
Halafu sijui kwa nini nina bahati mbaya na akina bageshi. Hili suala huwa silielewi kabisa yaani. Nilishajaribu kwa Minza nikapigwa chini. Nkwaya napo yale yale. Kundi down. Milembe wa Kidinda pale hakuna kitu. Njille wa Bugando napo hakuna. Hata Nchama wa Alabama nako yale yale. Kuna tatizo gani na hawa akina bageshi?
Wigelekelo na
T 1990 ELY mje mnipe muongozo kwa kweli. Huwa mnafanyeje ili kuwapata akina bageshi wetu?