Selfika na JF: Snap it. Show it

Morning Salimeti
mimi sina usemii
Usemi utoke wapi sasa soulimeti wakati kila kitu ni self explanatory?

Kawe na siku njema iliyobarikiwa sana. I hope yule boya aliyekupiga chini ulishamfurumusha mazima kutoka moyoni mwako...na kuna mfalme mpya amekalia kiti cha himaya sasa
 
Kuna kamsemo eti kwamba Mungu Aliondoka na udongo wote kutoka Kaskazini halafu akaenda kuumalizia huko Kusini. Sijui hata kamsemo haka kana maana gani ila Wanyaki nyie mmebarikiwa hatari!

Goodnight soulimeti
Sasa sie wa kusini tumekukosea Nini sijapenda


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sasa sie wa kusini tumekukosea Nini sijapenda


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Na wewe ni Mnyaki?
. Basi kila mwanamke hapa JF ni Mnyaki. Ai givapu!


Yeah! Mungu alimalizia udongo wote huko kwenu...na slogan ni ile ile: ogopa matapeli. Hakuna binti wa Kinyaki ambaye hana li/kishundu
 
Sio mnyaki mm wale wa sura ngumu na shape za kuungaunga
naona tulikuwa udongo wa mwisho mwisho

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mfaranyaki kwa wafaranyaki wa kusini.

Anyway. Everything happened for a reason and that reason has meaning and the meaning need understanding.

Poleni sana wote mnaoumwa. Dawa ni nyingi.View attachment 2201993
Jamaa haamini kitu kizito alichopigwa nacho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Angetushirikisha Wazee tungemsaidia kumwambia nenda nyumba ile lakini sio hiyo uliyokutana nayo Instagram πŸ€ͺπŸ€ͺπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…