Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Self love
Screenshot_20220426-221415.jpg
 
Nimeshakunywa maziwa
Sumu sijaitapika
Akili haifikirii Imekumbwa kitu gani
Nina zunguka zunguka
Nina tembea tembea Nina ongea ongea
Hata sijieliwi

Aah Nimekua teja, teja wamapenzi, ooh nimebwia unga oooo sijiwezi, mimi nimekua teja, teja wampenzi, uuh nilobwia ungwa sijui ni aina gani. Kumbe mapenzi ni sumu

Old is gold
 
Nimeshakunywa maziwa
Sumu sijaitapika
Akili haifikirii Imekumbwa kitu gani
Nina zunguka zunguka
Nina tembea tembea Nina ongea ongea
Hata sijieliwi

Aah Nimekua teja, teja wamapenzi, ooh nimebwia unga oooo sijiwezi, mimi nimekua teja, teja wampenzi, uuh nilobwia ungwa sijui ni aina gani. Kumbe mapenzi ni sumu

Old is gold
Nani huyo ameubananisha moyo wako Tinsley?
 
Sasa hitimisho la kupenda ni nini kama sio kugegedana?
Sasa unaposema date urself sii unamaanisha upige nyeto.
Wee utaendaje dinner au movie mwenyewe...hayo sio maisha.
Loners hao ndio wanaishia kuwa serial killers tuu

Dating yourself means you are getting out there and doing things you love to do, solo, just because you can. You embrace the fact that you aren't with anyone, na unafanya mambo yako

Hakuna mambo hayo mengine wala nini binafsi napenda sana lifestyle hiyo naweza enda sehemu peke yangu na nikaenjoy kweli .
 
Back
Top Bottom