Hahahaha najua mna tule tumsemo twenu eti "hakuna mkate mgumu mbele ya chai"
But trust me as I am telling you this, mimi nimesoma shule breakfast tulikuwa tunakula mikate migumu hadi chai inasalimu amri yenyewe, yaani mkate ukimpiga nao mtoto mchanga kichwani anakufa, kwahiyo najua umeshaelewa namaanisha nini.