Selfika na JF: Snap it. Show it

Umejitahidi mwaya mm huwa kujisuka mwenyew hivo siwez [emoji16][emoji16] labda kuvitwist ovyo ovyo nikimaliza huwa nacheka bala
View attachment 2200390

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Umekuza😍
Uko vizuri😍😍😍
Mimi naona bora nijisuke maana nipo selective sana kwenye mafundi.

Nataka nizikuze..
Nimechoka kunyoa
 
Umekuza[emoji7]
Uko vizuri[emoji7][emoji7][emoji7]
Mimi naona bora nijisuke maana nipo selective sana kwenye mafundi.

Nataka nizikuze..
Nimechoka kunyoa
Kama unaweza kuzikuza zikuze alafu nywele ngumu ndo nzuri zikikua zitalainika zenyew
Mm nilikuwa napata shida mwanzo sahiz kidogo afadhali

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kama unaweza kuzikuza zikuze alafu nywele ngumu ndo nzuri zikikua zitalainika zenyew
Mm nilikuwa napata shida mwanzo sahiz kidogo afadhali

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yah zikikua zinalainika zinapendeza.

Ngoja nianze...nikifumua hapa angalau zitakuwa sasa zimejiandaa Kwa kusukwa.

Mi nilikuwaga nazo ndefu nikakata.
Najuta😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…