Moja hiyo 700 ?[emoji51][emoji51]Umenikumbusha jana nimeenda kununua chapati mwe mwe kama gazeti tena kwa mia 700
Unaupiga mwingi😍Nilitaka kushangaa mpendwa mimi kwenye kula sitaki utani😬View attachment 2200291
Aisee hawa wapishiNimenunua[emoji23]
[emoji23][emoji23]alafu mbona kma kisukumaBaada ya mfungo nikumbushe nikutafsrie [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchumba unaniangusha sanaHilo trela tu mchumba[emoji23]
Upo vizuri[emoji4]Nilitaka kushangaa mpendwa mimi kwenye kula sitaki utani[emoji51]View attachment 2200291
Hicho ni Kigriki cha kale cha akina Plato na Socrates [emoji16][emoji16][emoji16]
Comment tu mpendwa. Mfungo ukiisha nitakukumbusha [emoji51][emoji51]Natamani ni comment kitu ila basi ngoja mfungo [emoji51]
Wala sikuwa nafanya mazoezi mazingira ya mahali nilipokuwepo kipindi hicho mwili ulinenepa mno kwa sasa niko Tz stress tupu 😬😬Ulifanya mazoez ukapungua ??
Mimi pia unene siupendi kuna mda hapa nilikunywa hadi mnyonyo ili nikate tumbo ila wapi
Kwanini sasa?Mchumba unaniangusha sana
😃😃😃Comment tu mpendwa. Mfungo ukiisha nitakukumbusha [emoji51][emoji51]
Yaani 😂Aisee hawa wapishi
Ndo tu nini hicho ? jamani wamezidi kupunja size
Sasa hivi bora kujiandalia mwenyewe nyumbani vitafunwa vyako .
Anha okayWala siku fanya mazoezi mazingira ya mahali nilipokuwepo kipindi hicho mwili ulinenepa mno kwa sasa niko Tz stress tupu [emoji51][emoji51]
Mkate wangu pendwa unauzwa 1600 huku mtaaniYaani [emoji23]
Mlipuko wa beiMkate wangu pendwa unauzwa 1600 huku mtaani
Sasa hivi tule mihogo kwanza na inaiva na ni mitamu .
Ukiisha nitakukumbushaNatamani ni comment kitu ila basi ngoja mfungo [emoji51]
Inflation sio poaMlipuko wa bei
Sitaki unikumbushe wewe 😬Ukiisha nitakukumbusha
Kumbe nikajua kisukuma nilitaka nikujibu[emoji16][emoji23][emoji23]Hicho ni Kigriki cha kale cha akina Plato na Socrates [emoji16][emoji16][emoji16]
SYBSitaki unikumbushe wewe [emoji51]