Yanii... juzikati niijitahidi diet na mazoezi nikapungua sana ila naona sikuhizi nafeliiii!!Yaani kuna watu wanakulaaa ila wala hawanenepi, wengine sasa hapa tukinusa tu msosi mzuri kitumbo hiko!🙄
Life is not fair kabisa
Bila kaugali ka kusindikizia au makande ya Kipare ni kazi bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tena ugali wa kisukuma 😂😂🤣!Bila kaugali ka kusindikizia au makande ni kazi bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Uje siku moja nikupikie Bosi Ledi tena ule mgumu kabisa tonge lake ukimpiga nalo mtu kichwani anakwenda ICU [emoji16][emoji16][emoji16]Tena ugali wa kisukuma [emoji23][emoji23][emoji1787]!
Duu! Sijawahi comment huu uzi ila imenibidi. Hii pisi ni noma.Ndiomana sipendi kupiga picha front view
kitambii!View attachment 2199201
Uje siku moja nikupikie Bosi Ledi tena ule mgumu kabisa tonge lake ukimpiga nalo mtu kichwani anakwenda ICU [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah! Wali tupu bila kaugali haiwezekani kwa kweli!
Nawewe tupia yako mkuu!! Humu Unachat na pichaDuu! Sijawahi comment huu uzi ila imenibidi. Hii pisi ni noma.
hahaaa.... basi Sauwa nakusubiria hapa 🙇 mkuu!!😜Ngoja niweke kamera sawa boss lady
Hahahaha.....ogodakaga gojinja ohonge bhageshiAcha tu izunaye
Nina ka plot hapo goba ya mageti
Nawaza nimpatie
Ila sasa pwipwi nitapewa[emoji1787][emoji848]
Mi mgumu sana tu sina ulaini wowote😂 ndiyo maana nilichezea kibuti nilistahili kabisa😂Na unalo kweli
Yule fala sijui kwanini
Alikuacha
Mtoto maini mlaini
Siagi ikaanze upya
Nagodochimanga sana odwanike domumuBazunabane mlībadanganu geete...
Ūdūkīma domuJF dūlīnamasala noi. Mgadūchimaga nangī mabūlomolomo guke? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nasikiaga kuwa mwanamke mwenye tege hasa tege lililoingia ndani huwa ni wa ...... kweli kweliThank you mimi mwenyewe nna tege moja balaa, hivo viatu vinanifichià fichia kidogo[emoji23]
Tako je?Yani nafanya msukuma ila naona nimeanza kunenepa tena...mie nikinenepa na tumbo linanenepa Kweli!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oooh hehe shauri yako
Na shost ake pombe pia aache
Kwa kweli nikaushe......Kausha.. Unaendeleaje!?