Utaikuta huko huko π€£π€£
Asante boss ladyπUna miguu mizuri lainiiiii βοΈβοΈβοΈβοΈ;
Braza anahudumia vema , ananifanya ning'areeππUtaikuta huko huko π€£π€£
Na imeisha sasa β€οΈ turudi tukajiandae na kesho ππ
Braza anafaidi sana ππ
Wauweeeee π₯ π₯Braza anahudumia vema , ananifanya ning'areeππ
Eeh niikute saa hii basi
Na kesho venye nitakua busyπ€£π€£π€£
Inabidi kuwahi kulala leo ili kesho mwili uamke na full energyπWauweeeee π₯ π₯
Kwani ilikuwa pic ya maana hata π€£
Hapana chezeya ubize wa blue Monday
Bageshiiiiiiiii !!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe Ndiyo tumepishana hapo Riverside.......??Ndiomana sipendi kupiga picha kwa mbele....
kitambii!View attachment 2199201
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]Wewe Ndiyo tumepishana hapo Riverside.......??
Daah π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Kimefunikwa na gushepuππNdiomana sipendi kupiga picha kwa mbele....
kitambii!View attachment 2199201
Bageshi umemisikaBageshiiiiiiiii !!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Aiiiiiiiiiihhhh yani nina kitambi balaa afu naona kimeanza kuongezeka tena![emoji134]Kimefunikwa na gushepu[emoji7][emoji28]
Hakionekani hata
Lakini si unafanya mazoezi Boss Lady?Aiiiiiiiiiihhhh yani nina kitambi balaa afu naona kimeanza kuongezeka tena![emoji134]
Nipo bageshi.Bageshi umemisika
Yani nafanya msukuma ila naona nimeanza kunenepa tena...mie nikinenepa na tumbo linanenepa Kweli!!Lakini si unafanya mazoezi Boss Lady?
Dawa yake ni kutafuta tu bana tumbo, maana diet nayo kipajiAiiiiiiiiiihhhh yani nina kitambi balaa afu naona kimeanza kuongezeka tena![emoji134]
Sasahivi nakula kama mchwa !! Afu kila saa nasikia njaa !!Dawa yake ni kutafuta tu bana tumbo, maana diet nayo kipaji
Niko naye hapa anakula musicNipo bageshi.
Ni hekaheka tu za maisha.
Msalimie dadangu [emoji1545]
Yaani kuna watu wanakulaaa ila wala hawanenepi, wengine sasa hapa tukinusa tu msosi mzuri kitumbo hiko!πSasahivi nakula kama mchwa !! Afu kila saa nasikia njaa !!