Selfika na JF: Snap it. Show it


Unakuta naye anakaa sana haondoki haraka.

Mambo ya watu kuja bila taarifa,tena Muda wa chakula.
 

Unakuta naye anakaa sana haondoki haraka.

Mambo ya watu kuja bila taarifa,tena Muda wa chakula.
Mbaya zaidi kila Siku binti wa kazi anafujafuja vyakula TU anapika mavyakula kibao yanabaki yanamwagwa ... si nikamuambia dogo maisha magumu vitu vimepanda bei hatari hii tabia yako ipo siku nitawalaza njaa si leo nimeshikilia usukani jikoni kila kitu nimepima eti chakula kikawa balanced...alichonifanyia mgeni sasa
!!
 
Halafu amelengesha muda wa chakula
Kutafutiana dhambi bila mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…