🙌🙌🤣🤣🤣
Ulikua umetupia na ka saraverza kadogo?
Heart beats huwa zinaongezeka kwa mvutaji yeyote (hata wa sigara).
Reason ni kwamba puffs zinaenda na kiasi fulani cha carbon dioxide (monoxide? Sina uhakika sana)
But hii carbon inapoingia kwenye damu, shortage ya oxygen inatokea.
As a result, moyo unakua forced kuongeza speed ya ku pump more oxygen kwenye flow ya damu.
Hiko ndo kilikutokea mkuu.
Next time usifanye vitu nyeti hivi bila mentor
Kama ndio kichwa kimeamua kuwa kizito hivyo haya….Hebu elezea sasa vizuri mdogo etu😂
Heee🙆🙆Kama ndio kichwa kimeamua kuwa kizito hivyo haya….
Siku ukimkumbuka nitakwambia.. ni ile siku alikuwepo
Kwamba akili imejipiga screenshot? 🤣🤣🤣🤣Heee🙆🙆
Akiyanani umbea unanipita hivihivi 😰
Nieleweshe basi,si unajua tena akili yangu imechanganyika na bangi imekuwa ishajichanganya
Sawa mkuu.🤣🤣🤣
Ulikua umetupia na ka saraverza kadogo?
Heart beats huwa zinaongezeka kwa mvutaji yeyote (hata wa sigara).
Reason ni kwamba puffs zinaenda na kiasi fulani cha carbon dioxide (monoxide? Sina uhakika sana)
But hii carbon inapoingia kwenye damu, shortage ya oxygen inatokea.
As a result, moyo unakua forced kuongeza speed ya ku pump more oxygen kwenye flow ya damu.
Hiko ndo kilikutokea mkuu.
Next time usifanye vitu nyeti hivi bila mentor
Chaaaah😂😂😂😂Kwamba akili imejipiga screenshot? 🤣🤣🤣🤣
Tabia mbaya umeanza liniTule kwanza mchemsho
Kabla sijakukula
[emoji1787]Magwaya anaendeleaje?
I didn't mean mhuni kama mhuni tatizo kiswahili nilifeligi!!Uhuni wangu nini?
Aisee..kumbe mtoto mzuri wewe. Na kautege kwa mbali😍😍😍😍
Tena stranger mwenyewe awe na vidole vizuri namna hii...@DepalEwaaaa
A stick can turn strangers into best of friends
Walimlipua Magwaya na mabomu😂[emoji1787]
Kitambo sanaTabia mbaya umeanza lini
Umeshindikana tayari
😘😘 ebu kumbuka basiTangazo kutoka kwa wadhamini wetuView attachment 2198220
Kwahiyo ulidhani mimi ni dunga embe, kimpwipo fulani hivi jinga jinga eeh, pua yako😂Aisee..kumbe mtoto mzuri wewe. Na kautege kwa mbali😍😍😍😍
Ah wee mrembo hatari jamani...kha sasa laki unajua haya ni matumizi mabaya ya utege wako....unakuwaje single wakati utege huo unapaswa kuwa umezunguka kweye kiuno cha mwanaume huku ukiwa umebebwa hewani unapata mabusu busu....na unavyo onekana upo portable hadi raha.Kwahiyo ulidhani mimi ni dunga embe, kimpwipo fulani hivi jinga jinga eeh, pua yako😂