Selfika na JF: Snap it. Show it

Lakini hapana hapo umeisingizia ujue, naona imeandikwa "kingreza" (ndiyo maana ikaleta "prisoner") badala ya "kiingereza" hebu jaribu tena, ila maajabu kama hayo yapo instagram kwenye caption za watu pale kwenye "see translation" ukibofya mbona utafurahi na roho yako.
Nafikiria kuiacha baada ya kuita kingereza ni "prisoner "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. View attachment 1249951
 
Msubhateeee [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].... Nimeumia sana bahharia wangu... Bado nikiangalia hii picha siamini kama ulikuwa unanilisha matango poriiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Yule msela kazingua sana tu.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji116][emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji116][emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…