Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeona eenh?? Achana na ile couple iliyoanzisha, kuna hii couple nyingine iliyofuatisha hii nina wasiwasi nayo sana kuwa ni mtu mmoja japo sina uhakika.
Na kuna siku ashawai kujichanganya nikauliza lakini sikupata jibu la kueleweka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yule mume wa dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili zako unazijua mwenyewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeona eenh?? Kuna wale wazee wa kusahihisha grammar tu!!
Kila mtu anajua eti sema tumetofautiana tuu kwenye ujasiri wa kuandika. Maana hawashindwi kusema "bora uandike tuu kwa kiswahili"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…