Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha kunitilia kiwingu mwana.

Tangu lini nikawa sister ako

Usiniwekee uzibe basi..mambo yakashindwa kufunguka mbele ya safari
..kukuwekea kauzibe tena???

Kwani wewe haupo ktk like kundi la TDH (Tall,dark and handsome)?

.Nilipoona hiyo campaign hapa jf nikainua mikono juu nikasema hapa sina changu maana sina hizo sifa zote,nikasema wanawake wote wa if kuanzia leo ni dada zangu


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwangu ni yeyote mwenye vigezo vya kuwa mwanaume kamili ilimradi awe anapumua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…