Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Najaribu kufanya tathimini kupitia vidoleNilikuwa natumia hizi mambo lkn zikanishinda,Mimi ni mvivu wa kuinua mavyuma,Ila push up Niko vizuri,hata mkono mmoja Kama jet li napiga[emoji3]..Ingawa push up zinachelewesha mwili kukaa vizuri Ila one day yes!!View attachment 2196998
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Oooops!!Lako siyo Kali kama langu wee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui unalipata vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2197334
[emoji848][emoji848]Najaribu kufanya tathimini kupitia vidole
Huyu ndy mimi wa sasa mahondawUlijaa vizuri![emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Mkuu nakuona umetuliaaSisterπ€π€
Ukimaliza ni DM please π π π
Nilikuwa mbali na jf takriban wiki 2..nimerudi nakuta majina ya baadhi yamebadilika,Ila naweza ku guess baadhi kupitia miandiko YaoMkuu nakuona umetuliaa
Kijana wa hovyo hovyo mkuu.. nipo nimetulia na wazambuli hapa tunakula dawaNilikuwa mbali na jf takriban wiki 2..nimerudi nakuta majina ya baadhi yamebadilika,Ila naweza ku guess baadhi kupitia miandiko Yao
Bila Shaka wewe ni 9.8.. aka kijana wa hovyo hovyoπ
Acha kunitilia kiwingu mwana.Sisterπ€π€
Ukimaliza ni DM please π π π
Have a wonderful blessed and an enjoyable weekend dears![emoji8]View attachment 2197355
Weeee JF itastuck bwana [emoji23]Tubariki basi na utege wako kidogo ππ
Dah! msitutendee hivyo kidogo tu jamani.. tubarikiwe ππWeeee JF itastuck bwana [emoji23]
Nielekeze hapo kwenye vyakula mkuuPush ups ni poa zaidi, ila kuna sayansi yake ili Kuona mabadiliko. Aina ya vyakula, muda wa kupumzika, na vitu kama hivyo pia vinachangia. Ila cha msingi ni fitness kuliko muonekano, mzee.
Mvua ya jua ujue simba anazaa πAcha kunitilia kiwingu mwana.
Tangu lini nikawa sister ako
Usiniwekee uzibe basi..mambo yakashindwa kufunguka mbele ya safariπ
Hadi leo hujanitumia zile nyimbo[emoji28]Kijana wa hovyo hovyo mkuu.. nipo nimetulia na wazambuli hapa tunakula dawa
Mie tege sina [emoji4] mguu kama ukutaDah! msitutendee hivyo kidogo tu jamani.. tubarikiwe ππ