Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Jamaa alikuwa anaelekea kwenye utapeli asingewahiwa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafikiria kuiacha baada ya kuita kingereza ni "prisoner "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. View attachment 1249951
Mwaka jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alianza lini eti kukumendea pm
Exactly ni kwa wale wateule tu[emoji3][emoji3]hapana sio kwa wote
Wewe hapo
Mnazareth
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mafisi wangelilia chooni
Ukimtoa Mshana Jr mnafikiri nani mwingine kaumizwa sana na hili tukio?[emoji23]
View attachment 1249946
Wengi sana wameumizwa sana na hili tukio [emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji24]
Safari njema mkuu
OooooowkeyNoted...Am just here waiting....
Wengi sana wameumizwa sana na hili tukio [emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji24]
Maji yaliyoko mixed na k vant au nyagi πHapana mimi nakunywa popote tu maji yangu madogo ya kilimanjaro[emoji23][emoji23][emoji23],watu wengi wanayashuku lakin n maji tu
Mimi sio sana nilianza kushtuka mapema tu..nilivyomuona jukwaa la simba kule
Kiruuuuu πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikusaidie tu dada yangu, huko ni kwetu Nyasa Land Kyela (Mbeya), unyakyusani huko na huo ufukwe upo mbele ya hotel ya Land Mark Lake Nyasa.
AiseeeMwaka jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sio sana nilianza kushtuka mapema tu..nilivyomuona jukwaa la simba kule