Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Mfumo dume na pia Waafrika tunapenda sana kupangiana maisha. Nafikiri pia wengi wetu hata hatuna furaha na maisha yetu; so tupo busy kumalizia machungu yetu kwa wengine at least inatupa faraja kwamba we are better off than them kwa sababu tuna ambavyo wao hawana. Mtu mwenye furaha na maisha yake, hasumbuki na maisha ya wengine; sanasana atakutia tu moyo kwamba relax wakati wako utafikayeah kwa utaratibu sahihi... Lakini changamoto ya umri pia itawatesa sana wanawake na jamii sijui kwanini huwa inawachukulia tofauti wanawake ambao umri umeenda ila hajaolewa ... Hivi Kwanini??
Mwenzangu yeye anaona kayapatia maisha mimi nachagua sana wanaume hata wa kunizalisha nimekosa. Nilinyamaza tu ila inaumiza sana.Kuna watu huwa ni malimbukeni especially anapoona yeye amepata kabla ya wengine; anajihisi kashayapatia maisha. Na wanaonaga wenzao wote waliokosa ni kama wana matatizo
Afu unaanzaje kukutana na mtu na kumuuliza "una watoto wangapi"? What if ameolewa na ana changamoto za kupata mtoto, atajisikiaje mwenzio? Kama kuna stories ninazoziavoid ni hizo za familia, watoto, kazi. Ambaye hana, anajisikiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mange kazi yake ya umbea hiyo inaboa jamani kila siku anachafua image za watu .Iv Mange na Lulu wana ishu gani hii sijasikia?
Mie bwana mtu akinisema namuangaliaga tu, kama anataka sana ndoa akaolewe yeye.
Yeah! kwa utaratibu mzuriNi kweli kabisa, ila sio tu ndiyo uzae ili mradi.
Kuna memes niliiona 🤣🤣eti Mange ana kansa ya damu… aliyeandika meme kasema nikefurahia Mange kukutwa na Kansa ya damu…Bonge moja la bifu aisee
Mange kaanza kusema lulu kachafua Hali ya hewa wahi kwa app , sasa lulu akaja kushusha povu kwenye comment aisee kumbe Mange naye alikasirika akaanza kufukua makaburi aisee na kuanza kumsema mama yake lulu dah . .
Kaweka picha za lulu enzi yuko na vibukta aisee huku anamchamba baadae. Insta wakafta post anayomchamba ndo amehamia kwenye app huko msuto unaendelea
Nampenda lulu kwa hili Mange amekosea sana yeye amegeuka kuwa bully kwa wasanii kila siku yupo na umbeya usio na faida ..
Napenda ubuyu ila Hadi nimemunfollow Mange aisee linakera
Duh!! Ila Mange ana matatizo gani yule mtu kila mtu ni adui yake ebu amuache Lulu bwana kwani ni nani hana mabaya.Bonge moja la bifu aisee
Mange kaanza kusema lulu kachafua Hali ya hewa wahi kwa app , sasa lulu akaja kushusha povu kwenye comment aisee kumbe Mange naye alikasirika akaanza kufukua makaburi aisee na kuanza kumsema mama yake lulu dah . .
Kaweka picha za lulu enzi yuko na vibukta aisee huku anamchamba baadae. Insta wakafta post anayomchamba ndo amehamia kwenye app huko msuto unaendelea
Nampenda lulu kwa hili Mange amekosea sana yeye amegeuka kuwa bully kwa wasanii kila siku yupo na umbeya usio na faida ..
Napenda ubuyu ila Hadi nimemunfollow Mange aisee linakera
Dah😆😂Wewe
Ma shost zangu karibia wote ni tayari wapo chamani…
Sijui ndiyo lile sakata watoto wa Udom wanakimbilia ndoa kuukwepa ujobless 🤣🤣🤣
Uzuri Lulu hana muda wa kutia huruma kapitia mazito kuliko haya. Mange tushamzoea yule ataongea akichoka atahamia kwingine.Mange kazi yake ya umbea hiyo inaboa jamani kila siku anachafua image za watu .
Anamsema past yake sana sana na kumchafua mama yake mzazi hii inaumiza aisee . Hii ni baada ya lulu kumjibu ndo amewaka hivyo .
Ila yule dada ni bipolar maana sasa amekosa ule utu na roho ya huruma . Alikuwa ansema kuhusu duka la lulu ni kama store .. hana mtaji wa 10M
Ila lulu wetu yupo strong aisee maana Kama kusemwa amesemwa sana . Na tunazidi kumpenda lulu ... Everyone has a dark side
Kuna memes niliionaeti Mange ana kansa ya damu… aliyeandika meme kasema nikefurahia Mange kukutwa na Kansa ya damu…
Sijui kilichopo ila hiyo tabia tunagombana sisi we unaanza kuingizamo na ndugu aisee sio poa.
Heshimu tu mawazo mabaya ya mtu lakini amini wakati wa Mungu ni sahihi zaidi.Sie ambao tunafuatilia watu wanavyotuambia tuna shida eeh ..
Watz ndo tulivyo hahha mtu humjui sema sasa unavyohangaika nae.
Nimekumbuka ile video inatrend yule mdada anasema sio lazima kuolewa.
Mimi mwenyewe nimemuona mtu wa ajabu kuanza kuingiza Hadi wazazi kwenye ushenzi wao .Mange kazi yake ya umbea hiyo inaboa jamani kila siku anachafua image za watu .
Anamsema past yake sana sana na kumchafua mama yake mzazi hii inaumiza aisee . Hii ni baada ya lulu kumjibu ndo amewaka hivyo .
Ila yule dada ni bipolar maana sasa amekosa ule utu na roho ya huruma . Alikuwa ansema kuhusu duka la lulu ni kama store .. hana mtaji wa 10M
Ila lulu wetu yupo strong aisee maana Kama kusemwa amesemwa sana . Na tunazidi kumpenda lulu ... Everyone has a dark side
Amen nduguHeshimu tu mawazo mabaya ya mtu lakini amini wakati wa Mungu ni sahihi zaidi.
Wakati ukifika mambo yanaflow tu hadi unashangaa.
Ukitaka uforce mambo kufurahisha watu utajitesa wee
Mimi ameniudhi tafikiri nina undugu na luluMimi mwenyewe nimemuona mtu wa ajabu kuanza kuingiza Hadi wazazi kwenye ushenzi wao .
Muda wa kujibu maneno maneno ndiyo uwa sina 🤣🤣🤣Dah😆😂
Ila Kuna watu wapo moto nyie..
Wakati wao umefika,,wewe waambie bado wakati wako.
Yupo strong eeh hicho nampendeaUzuri Lulu hana muda wa kutia huruma kapitia mazito kuliko haya. Mange tushamzoea yule ataongea akichoka atahamia kwingine.
Kwahiyo huwa unasemaje na Watu wamekuuliza😂Muda wa kujibu maneno maneno ndiyo uwa sina 🤣🤣🤣
Mimi nimecheka tu wanavyochambana jamani🤣Mimi ameniudhi tafikiri nina undugu na lulu
Wambeya tuna shida sisi
MweeKungekuwa na shuhuda nyingi kama hizi; zingewasaidia sana single girls kutulia, kujitunza na kusubiri wakati wao. Kuna dada humu ni single mom; aliongea jinsi hiyo hali inavyomuumiza kwa jinsi ambavyo anaona ombwe kwenye maisha ya binti yake mdogo ambaye akiona tu Kila mwanaume anamuita "baba". Na maswali yake mengine like baba ndiyo yupo kule na wale watoto wake wazuri, mimi ni mbaya ndiyo maana hakai na sisi. What a trauma to an Innocent kid. Shuhuda kama hizi zingewanyamazisha hawa wajinga wanaolazimisha wenzao kuzaa hovyohovyo. Mtoto raha kwa kweli; ila ni raha pia kwake mtoto kama atakuja kwa utaratibuView attachment 2195134
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifurahi lulu alivyomjibu tena kamchamba Mara moja huyo mama .