Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,530
- 235,275
Hayo majina yote yako mdogo etuNew nickname in town
Linakupendeza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbinguni utanikuta naita roll call
Mashallah [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]Naaam
Nikikukuta mbinguni naandamanaNew nickname in town
Linakupendeza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbinguni utanikuta naita roll call
HahaaaHayo majina yote yako mdogo etu
Pamoja na lile la mwanzo😂😂😂😂😂
Hili la pili limenikata maini ya kutoboa masikio🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona shida ya kujichimbia sana huko Ulaya hadi unasahau Mila zetu 🤪🤪Mimi naogopa mpaka sisimizi
Wazee ni wazuri sasa huoni Yatonga kachukua mtoto mbichiii 😬😂😂Tuwe huru tu mpendwa, wi a famili,kwa uzee huu nilio nao hata ya hovyo siwezi kufanya[emoji1][emoji1][emoji1]
Ila najuta kuwahi kuzaliwa na kuwahi kuzeeka... Nyie watoto wa siku hizi ni wazuri jamani mweee...
Oooooh......yeessssssssssss!!Usiku mwema wapendwa!!!!! View attachment 2193297
Dah kwahiyo nipende nisipende naingia kwenye lile la godauni?Hahaaa
Hela najua bado huna
Karibu makapu team 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu niachee...Wazee ni wazuri sasa huoni Yatonga kachumua mtoto mbichiii [emoji51][emoji23][emoji23]
Koh Koh Koh ..........Usiku mwema wapendwa!!!!! View attachment 2193297
Kwa kawaida inasundikizwa na jitusi . Nia na madhumuni ni kusifia (.....................)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 lugha ilinishinda hahah!!
Habari za uzima babuu!!✋✋ leo hujaenda shamba utupiepo tuone???Koh Koh Koh ..........
Ni mimi au ni wewe 🤣🤣Dah kwahiyo nipende nisipende naingia kwenye lile la godauni?
Unazidi kuongeza dhambi akiyanani😂
Aaaaah shem fanya mambo basiHalafu dogo majuzi alikuja kunisalimia nakutafuta hupatikani!!
Tatizo unapotea sana akiwemo wewe hupatikani ukiwepo yeye anakua ameshaondoka!Aaaaah shem fanya mambo basi
Hivi kwani mmiliki wa magodauni alishapatikana?Ni mimi au ni wewe 🤣🤣
🤣🤣🤣 nasikia ni weweHivi kwani mmiliki wa magodauni alishapatikana?
Chaaaaaah!!!!🙆♀️🤣🤣🤣 nasikia ni wewe