Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtasifia mafundi bure tu. Nyie vimodo hata mtu awe hajawahi kushika cherehani akiwashonea mnapendeza tu! [emoji16][emoji16][emoji16]

Mjomba mimi sina bahati na mafundi wa kushona kabisa,ndio maana sipendi nguo za kushona sana maana huwaga wananitolea mifuko ya mashine sasa sijui ni hii namba tisa?[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…