Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Prof.........Malizeni huu mjadala sasa. Bosi Ledi hana mume bali anacheza tu na saikolojia zenu. Hakuna mke wa mtu anayeweza kuwa na audacity ya kuweka mahusiano yake na michepuko hadharani vile na kubinuka mitandaoni humu hata kama mumewe awe boya namna gani.
Na msije nanyi mkaleta za kuleta huko kwa wachumba na waume zenu kubebishana na michepuko hadharani eti mnamuiga Bosi Ledi. Mtakuja kuselfika hapa mkiwa mmepigwa hamtamaniki!
Tuendelee na mambo mengine ya maana pulizi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 2193154View attachment 2193155
[emoji849]Umebahatika mpendwa huyo bro hana mdogo wake niombe huku talaka nije huko kwenye neema hata ukisaliti [emoji51][emoji51]
Una damu ya nguo dear
Ni yeye AnneHuu mwandiko
Kama wa santa Anna
Nimekata
Fanya chapAu mnataka nijipe uwanakamatji Kwa nguvu??nianze kuwapangia ratiba[emoji23]
Wiii
Yes,fundi wa ukweliMshono mzuri huo [emoji7]
Hapo inahitaji upate fundi haswa na sio fundi Michael
Nini kimetokea tena jamanNyie kumbe bado mnapata tabu kuniwazia mimi masikini!!!! Bosi ledi hayumbishwi mazee this is My life mniache bana mbona hivo arhh hadi mnaboa sasa!!!😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
Mzurii[emoji2956]WiFi zangu wanyakyusa
Mshonowa kitenge huu hapa
Saint AnnieHeaven SentTinsley na we shona
Watt wa Abiud[emoji3]View attachment 2193183
Asante love[emoji120][emoji8]Una damu ya nguo dear
Unapendeza na outfit yoyote.
[emoji120][emoji120][emoji8]Wiii
Wewe ni photogenic
Ooh yeahYes,fundi wa ukweli
Kumbe na wewe ni wa kule kule....dah raha hiiEeh vamdala,namkwata indalama?
Si unaona jina lakini pale chiniHuu mwandiko
Kama wa santa Anna
Mwezi ujao tu tukimaliza Eid inafata yenuFanya chap