Anne motoni moja kwa moja huyu!πUnaona eeh! Anne ni corona kabisa [emoji2][emoji2]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mama Mchungaji katika ubora wako! Simple, elegant, gojazi, classic! Hivi ulisema Baba Mchungaji naye yuko nje ya nchi ama? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Bado nasikiliza aisee ...
Watz sisi ni wabishi ikiwemo na mimi [emoji23][emoji23]
Nimejitibu kwa herbs imeshindikana sasa nikaona hapa nacheza pata potea ngoja niende kwa artificial medicine .
Anne motoni moja kwa moja huyu![emoji12]
akiambatana na msukuma wazee wa kung'ata na kupuliza huku Mahondaw wakwanza kuteketezwa kwa moto!π€π€π!Yaani yeye ndio atakua kuni za kutuchoma[emoji23][emoji23]
Get better soonThank you
Ooh yeah leo ndo nimetoka hapo .
Nimechomwa sindano ile ya kifua ndo nimechangamka kidogo .
Nishaenda dearest leo yalinishindaHalafu unaweza kukuta wala sio corona,nenda tu hospitali dear...
...simama ndio itaonekana vizuri auntie πππππView attachment 2193095
View attachment 2193096
Kwa jinsi nilivyojikucha hapo ili tu nitokee kama [mention]mahondaw [/mention] nilianza kuona roho inaacha mwili[emoji23][emoji23] wacha nijikubali na namba tisa yangu...
Nishaenda dearest leo yalinishinda
Coughing non-stop , sneezing , headache , fever , body weakness , na pale face .
Kikubwa I'm feeling better now .. Ashukuriwe Mungu kwa hilo .
Thank youGet better soon
mbona shepu unalo afu limetulia auntie hongera sanaView attachment 2193095
View attachment 2193096
Kwa jinsi nilivyojikucha hapo ili tu nitokee kama [mention]mahondaw [/mention] nilianza kuona roho inaacha mwili[emoji23][emoji23] wacha nijikubali na namba tisa yangu...
Waoooohhhh Umependeza
...simama ndio itaonekana vizuri auntie [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Simama ivoivo shangazi Shepu unalo mama hongera πAsante,nikisimama kigodoro kinakaa vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096]
Ooh yeahKama umeshaenda ni vizuri...
Pole sana mkuuNishaenda dearest leo yalinishinda
Kikubwa I'm feeling better now .. Ashukuriwe Mungu kwa hilo .
Thank you MkuuPole sana mkuu
Boss ledi uko na hakika mjeda alikusamehe kweli?Anne motoni utavutwa pande zote utang'ang'aniwa ujue wewe!! ππ€£
Unanichoma boss lediπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ Anne kakuambukiza auntie
! Anne hafai kabisa π
Unanichoma boss ledi