Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
SawaHakuna aliyeniteka [emoji23]
Naomba lift๐ค
๐๐๐kwa kweli hivi hatambui kwamba yule ni bro wake au shemeji yake zilipendwa ๐ฌ๐๐๐๐๐๐๐๐
Eti jamani,,yaani Kuna mambo yanashangaza๐
Eeh mdomo wangu koma๐๐พโโ๏ธ
Wanakatiza kimyakimyaWengine tulikesha nao kinyakimya ๐๐๐
Niliamka nikatubu; Yesu akirudi anikute tayari๐๐Naona kweli umeokoka,,uoga haujakuacha salama..
Hutaki kuchafua CV๐
Mara paaah umenasa kwenye ulimbo wake nakwambia sijawahi kuandika uzi Jf ila nitaufungua kwa ajili yako humo naweka na ushahidi kabisa wa screenshot jinsi ulivyokuwa unashangaa wenzio๐ฌ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Eti jamani,,yaani Kuna mambo yanashangaza๐
Eeh mdomo wangu koma๐๐พโโ๏ธ
Weee wanamumunya ubuyu zaidi yetuWanakatiza kimyakimya
Umbea huu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐
Hadi wanaume wanaupenda
Mambo ni mengi mjini hapa jf๐๐๐๐kwa kweli hivi hatambui kwamba yule ni bro wake au shemeji yake zilipendwa ๐ฌ
Kama mimi nilivyo tubu๐ฌ๐๐Niliamka nikatubu; Yesu akirudi anikute tayari๐๐
KwaniWanakatiza kimyakimya
Umbea huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi wanaume wanaupenda
Ikitokea basi ntaamini uchawi upo duniani hapa๐๐๐๐๐๐Mara paaah umenasa kwenye ulimbo wake nakwambia sijawahi kuandika uzi Jf ila nitaufungua kwa ajili yako humo naweka na ushahidi kabisa wa screenshot jinsi ulivyokuwa unashangaa wenzio๐ฌ๐๐๐๐
Yaani wewe kama ni gari basi limekupita hadi nimeshafika linakoenda.Kwani
Kuna habari gani [emoji848]
Sawa
Sasa wewe
Umemteka nani [emoji848]
Tena hawa ndo wabaya zaidi,,wananasa Kwa kuibia .Weee wanamumunya ubuyu zaidi yetu
Ujue bro anasoma kimya kimya kisha anaanza na wewe huko piemuni๐ฌIkitokea basi ntaamini uchawi upo duniani hapa๐๐๐๐๐๐
Ila wewe mtoto .........Tena hawa ndo wabaya zaidi,,wananasa Kwa kuibia .
Bora sisi tuliojitoa tu kimasomaso tunsoengesha tu maswali ya kwenye mshono Kwa boss wetu mpendwa.
Aiseeee..Ujue bro anasoma kimya kimya kisha anaanza na wewe huko piemuni๐ฌ
Anne mbavu zangu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ!Aiseeee..
Nyie๐๐๐
Yaani ile jam,Bora hata mtu kama huijui.
Ila wanasema mamba hatukanwi kabla hujavuka mto na mapenzi ni upofu ila Kuna watu aiseeee ...wanaweka hadi pamba machoni.
Ririz wa ririz โฆ..Aiseeee..
Nyie๐๐๐
Yaani ile jam,Bora hata mtu kama huijui.
Ila wanasema mamba hatukanwi kabla hujavuka mto na mapenzi ni upofu ila Kuna watu aiseeee ...wanaweka hadi pamba machoni.