Kupuuzia mambo kunasaidia sana.... imagine unavamiwa na watu wengine mwenyewe unajiuliza nakushangaa nahuyu nae nimemfanya nini hupati majibu mie huwa ninajichekea tu !
Angekua mwingine mwenye moyo mwepesi angeshakimbia hii Id imagine wapambe Nuksi michambo kejeli unafiki hao chawa sasa uuwiiiiiii!! Bado kufunguliwa ma thread kama yote huku moyoni najichekea tu nhihihihihihi 🤔!😂😂😂
Angekua mwingine mwenye moyo mwepesi angeshakimbia hii Id imagine wapambe Nuksi michambo kejeli unafiki hao chawa sasa uuwiiiiiii!! Bado kufunguliwa ma thread kama yote huku moyoni najichekea tu nhihihihihihi