Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona Yesu alisha reduce zika baki mbili za upendo tu baina yetu na Mungu.
Kwa namna gani ame reduce ? wakati neno lake Mzee mwenyewe linasema;

Mt 5:17-20
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…