Imagine!!Eeeh??
Mdogo wetu😍😍😍
Kumbe una kucha nzuri hivi❤️
Huzipendi??Imagine!!
Sizipendi….. tena kidole gumba ndio sikipendi… unakumbuka nilikwambiaga.
Leo nimeotea picha yake nikasema nitamuonyesha dogo 🤣
🤣🤣🤣🤣Nimeona 🥰
Tukucha
Mimi zangu za miguuni zipo kama fyekeo,nisipokaa sawa zinanifyeka hadi Mimi.
Ulizoom lakini?Huzipendi??
Ngekuwa karibu ningekunasa na vibao😂
Mbona kidogo tu.Ulizoom lakini?
Au ulitishwa na huo mng’ao wa kucha?
Haha kuna kucha ni nzuri 😜😜 ila kidole kilichobeba hiyo kucha 🙌
Hebu tulioneMbona kidogo tu.
Umeona dole gumba langu kubwa kama kiazi?
Nimeweka picha jioni hiiHebu tulione
NitagNimeweka picha jioni hii
😂😂 kubwa kama ninii, una matatizo Anne 😆Mbona kidogo tu.
Umeona dole gumba langu kubwa kama kiazi?
Ni juu ya picha yakoNitag
Me sijaanzia huko nyuma
Na siwezi kurudipo kutafuta bila muongozo [emoji1]
Si unaona[emoji23][emoji23] kubwa kama ninii, una matatizo Anne [emoji38]
Kama kirungu 🤣🤣🤣🤣
KubwaKama kirungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
OhoooooComing in catwalks...
Let me put my hills 👠 on...😅
Ukiona nayumba sana ukuje unipokee nisianguke.... na hivi ni usiku....😆😆😆
Amarula ishafanya yake....
Mwambie akae Kwa kutulia[emoji23]Kuna siku mdogo wangu alinambia vidole venyewe kama tangawizi na bado vinakumalizia hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna muda naviangaliaMwambie akae Kwa kutulia[emoji23]
Mwili uwe mwembamba ,na vidole navyo??
Hapana [emoji23]
Tangawizi hoyee..?🤣🤣Kuna siku mdogo wangu alinambia vidole venyewe kama tangawizi na bado vinakumalizia hela 🤣🤣🤣
Hatujambo karibu chakooHamjambo wana selfika..