tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,836
- 8,257
Usijali boss lady, kesho nayo siku 🙂tatizo unapotea mazima! kurudia rudia foto haipendezi ujue!🤗
Usijali boss lady, kesho nayo siku 🙂tatizo unapotea mazima! kurudia rudia foto haipendezi ujue!🤗
Hahahaaa.. shangazi utakua umetingwa sana! Haya usitoke hapo dakika sifuriNa mimi leo nimekua wige picha zinanipita tu[emoji2]
Kaa Hapo dakika sifuri nafuta...Usijali boss lady, kesho nayo siku 🙂
Maisha menyewe ni haya haya. Ukishavuka 70 hakuna jipya ni kumalizia malizia machicha ya chai ya jioni tu na kujilamba midomo isiyo na meno - tayari kwa ile safari isiyo na rejea!Happy Easter [emoji214]
Ni video clip ya Msukuma baada ya kupata mafao na kichuna wake[emoji28].
😋
[emoji12][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]! miss you sanasana shos!!!Shouzzz hongera kwa kuuchuna, na uendelee hivyo hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asante Boss Lady [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Weeee nimeiwahi hii[emoji3526][emoji2956]
Kimya sana msukuma!! I hope uko bien mkuu!Asante Boss Lady [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Maisha menyewe ni haya haya. Ukishavuka 70 hakuna jipya ni kumalizia malizia machicha ya chai ya jioni tu na kujilamba midomo isiyo na meno - tayari kwa ile safari isiyo na rejea!
Utamwambia Strawbella nilimuita kabisa!Weeee nimeiwahi hii[emoji3526][emoji2956]
Kwan chimbo lako lina tatzo gan? Mbna kila nikisomesha halikubali? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]! miss you sanasana shos!!!
Supu na juice? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchemsho na juiceSupu na juice? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee sijui ngoja nikucheki mimiKwan chimbo lako lina tatzo gan? Mbna kila nikisomesha halikubali? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna shida taarifa nitaifikisha[emoji4]Utamwambia Strawbella nilimuita kabisa!