Selfika na JF: Snap it. Show it

St Patrick Morogoro
Your browser is not able to play this audio.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendelee kubarikiwa

Yan hapa najifeel like St. Felista
Niko na kina Perpetua View attachment 2187793
Endelea kubarikiwa mkuu, na kumsindikiza Kristu kwenye safari yake ya ukombozi.
Ila wayahudi wabaya sana, ina maana tokea saa moja ile usiku wa leo walipomkata walihenyesha kaka kesho saa tisa ndio ana maliza mateso!!? Hata kulala hakika? Kweli bwana yesu aliteseka mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetoka kusindikiza wageni hapa😃
IAA daah nimepamiss
Usiku wote huu 😜 si ungewaambia walale


Wee siku hizi pamekuwa pazuriiii, kuna ghorofa inaangushwa pale, hizo garden humo ndani 🔥🔥 hao Suma JKT wako na hiyo kiherehere 1 🤣
IAA imekuwa ya moto kimazingira afu ni kama imetanuka 😂 siku hizi napaona pakubwaa afu wanafunzi shaziii
 
Wabaya afu wanafkiii

Ile movie yake siwezi imaliza pasipo machozi pamoja na ukubwa huu 😇
 
But my trust is in you, O LORD; I say, “You are my God. In your hands is my destiny; rescue me from the clutches of my enemies and my persecutors.”

Let your face shine upon your servant; save me in your kindness. Take courage and be stouthearted, all you who hope in the LORD.

Father, into your hands I commend my spirit. 🙌
 
Christ became obedient to the point of death, even death on a cross. Because of this, God greatly exalted him and bestowed on him the name which is above every other name.


Good Friday to y’all 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…