Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2][emoji2]nimejikuta nacheka hakyababa tena..na sauti ilivyoyamkwaruzo sasa[emoji16][emoji16]kama wale wapiga debe wa sinza makumbusho.

Sijambo Daddy…unaendeleaje binafsi
Sijambo aisee. Nimekumisi mpaka naumwa. Kuonekana kwako hapa kwa kusuasua sana yaani. Natumaini kila kitu kiko poa huko kwako [emoji1545]
 
Sijambo aisee. Nimekumisi mpaka naumwa. Kuonekana kwako hapa kwa kusuasua sana yaani. Natumaini kila kitu kiko poa huko kwako [emoji1545]
Usiumwe sasa daddy na wewe..bintiyo ataumwa mara buku ujue😃😃

Nafurahi kusikia hujambo SYB.

Maisha yanamfanya binti kupotea kiaina.
Mungu ni mwema kabisa kila kitu vizuri kabisa…namshukuru.

Easter inakaribia daddy..ni nini umetuandalia wanao
 
Back
Top Bottom