Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wewe ndo ungesababisha kabisaa!

Kuna kitu kimoja huwa hamshtukagi, mwanamke hawezi kutupia pic zake mfululizo vile tena kwa jeuri kabisaa!!

Ila aliwajibu wanaume kwa makopa meeengiii, ajabu akawa anatuchunia sisi wa kike!
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
Great comment of all the time
 
Emu jisnap na wewe tuone kama itatoboa [emoji23]

Ukweli ni kwamba mwenzako nimeshindwa kutoboa maisha nimeamua kutoboa mashavu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muone kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…