Sijui leo yupo chimbo gan, sijui bonyokwa, sinia la chakula lina kutu, meza sasa ile ya buchan ya kukatia nyama ina afadhar, mazingira hovyooooo tyuuh,
Ila sasa akiwa na mchuchu maeneo yake hayoo, selfika inatikisika woiiiiiiiiih

nimekumbuka niliwahi kumuuliza kitu baba, afu mama alinambia nisimuulize eti nijifanye sijui,. Wee kamoyo kananambia "cocastic unajidhulumu nafsi yako hebu toa hilo duku duku uwe na aman" nisilipue kitu nn tena niko mkavuuuh.