Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwaga sijawahi kusoma aisee
Umenifanya nikasome[emoji23]


Za kupima sijui hata huwa nazionaje..naona kama hazipo katika hali ya usafi[emoji3064]View attachment 2185419

Ooh sawa
Hizi ni nzuri kuliko zile za Mo .
Za kupima huwa ni nzuri tena kwa mwezi huu ndo kuna tambi nzuri mno .. nilipika juzi hapa aisee nzuri na zimechambuka vizuri .

Je unapika noodles zile ?
 
hz kitu ukiwa ktk kale ka mchezo ka wakubwa.ndo utajua umuuhiimu wake
 
Ulinitafuta Kalvari
Ukanitua na mizigo

Yesu uliteswa Kalvari
Ushindi tumeupata kwako kufa

Iyooo hiyoo Kalvari
[emoji91][emoji91][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…