View attachment 2184857
Palipo na Wazee hakuharibiki Jambo, Nimejitolea kwenda Kiev kuwa mpatanishi wa hawa Wababe wa Vita, haiwezekani kwa Vita yao Sisi Bei ya Petrol/Diesel
zipande hadi kufikia 3,005/Lita huku Kijijini kwetu Namanyele.
Na Kwa taarifa za Chinichini hata Wajukuu zetu hiyo Mei Mosi hawatapata ongezeko Kwasababu ya Vita hii