Aisee usinitishe. Wiki jana jamaa mmoja ndugu yetu kafia kwenye mizagamuo...55+ kajifanya kuzagamua na kabinti ka chuo kwa kuboost na Redbull sijui na majitu gani aaa wapi. Ninapoandika hapa si ajabu tayari keshaoza huko aliko. Niko mwangalifu sana mjukuu