Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,367
Nimeongelea maelezo uliyoyatoa mkuu[emoji23]Pulizi usinirudishe huko jamani. Nilikosa mimi. Nilikosa sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuna mhaya amekuandikia Mtumishi wangu?Pamba safi + nice manly cologne + coffee + little $ in the pockets + leisure reading = perfect day [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2184170
Mkurugenzi linamfaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeongelea maelezo uliyoyatoa mkuu[emoji23]
Mimi na wewe si hatujazaliwa tumbo moja.
Chagua basi jina.
Tutavaa kaptura za marinda[emoji1787][emoji1787]Na mtakuja uwata kuchemka na ngoma, hakuna namna
Zile kaptura zenu tutazivua,,tutawapa suruali za mapanga[emoji23]
Ni muhaya aliyechangamka[emoji2096]Kuna muhaya amekuandikia Mtumishi wangu?
Aaaah kumbe?Ni muhaya aliyechangamka[emoji2096]
Ninafarijika kusikia umzima wa afya my dear 😍
Nimeongelea maelezo uliyoyatoa mkuu[emoji23]
Mimi na wewe si hatujazaliwa tumbo moja.
Chagua basi jina.
Mie nipoooo mbna lect, wee ndo umepotea kisa vocha, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Student ulipotea sana[emoji4]
Hili la mkurugenzi lilikaa mubashara sanaMkurugenzi linamfaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara moja moja siyo mbaya...ningekuwa ni Mhaya ningeongezea na ndinga kali na pisi ya kueleweka....Hiyo tu nimehangaika kuandika naandika nafuta naandika nafuta. Kweli kila mtu na fani yake [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna muhaya amekuandikia Mtumishi wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vyombo which? Who? Where?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sasa kama siyo kaka yanguWewe ni kadogo kangu tu hata ufanyeje...
Jina lo lote tu isipokuwa mkuu, chifu, bosi, mkurugenzi, kaka...na mengineyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Acha tu mkuuSauti yako inasikika Kwa mbali kuwa ni ya unyonge
Usimsikilize huyo...Atakupotosha [emoji16][emoji16][emoji16]Hili la mkurugenzi lilikaa mubashara sana
Mbna nguva km,? Afu satini hiyooo?Sunday[emoji3590]View attachment 2184406
Kwamba dogo hujaona vyombo hapo mezani au dharau?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vyombo which? Who? Where?