nimecheka mnooo, aaah wapi wee Refa kawabeba tyuuuh, afu kujisafisha kampa coacher wenu kadi nyekundu, hahahah
Kule kwa penalt nawalaumu GGM hawakua serious, tangu kipa wenu alivyokosa. Ilibidi wampe mahadhi ile angefunga, wakampa kinda kid kawaangusha, zilizofuata n uharo tyuuu.