Kuna ndugu yangu,alitoboa..akavimba
Kule nyuma ya sikio kunatengeneza dunguli kubwa linakua kadiri muda unavyoenda.
Baada ya muda anafanya oparesheni hayo madude yanakatwa...akikaa Kaa yanaota tena.
Hadi masikio yake yamechakaa maana zaidi ya miaka 15 sasa ni operation yanarudi Tena.