Mgongo mwambie bibi akufanyie masaji utakaa sawa.Mimi na Bibi yenu hatujambo kabisa, ila Babu yako nasumbuliwa na mgongo, huenda shughuli za shamba zimenizidi 🙊
Si unajua huku Kijijini kwetu Umeme bado haujafika Mjukuu, simu ziliisha chaji🤪
Fanyeni mpango wa Miwani Wajukuu, walau niwe naperuzi JF kidogo kuondoa stress za Uzee 🙈🏃🏃🏃
Otherwise, Babu amekumisi pia
Wanasema zinaongeza sijui nini kwenye mwili 🙊🙊🙊Shida gani jamani babu, me naomba 1Kg zitanitosha
Thanks Mjukuu wangu, fanya unitumie hayo mafuta ya masaji Mjukuu🤪🤪Mgongo mwambie bibi akufanyie masaji utakaa sawa.
Miwani umepata babu, anything for babu yetu.
It's different...
Ila ni nzuri kwa namna yake.
Kwa kweli japo kuna muda alikuwa anaomba na hata lugha huelewi; still you could feel the presence. She sang her heart out. She has run a purposeful race...Kati ya waimbaji wachache hapa duniani ambao wakiimba wanagusa kiti cha enzi na kushusha uwepo wa Mungu mahali!
Wanikumbushia nywele zangu jamani [emoji17]Ss hii ni 2014,15-17... Can u imagineView attachment 2180682
Picha nyingi ila zinatosha kwaleoView attachment 2180685View attachment 2180686View attachment 2180691
Ubarikiwe pia🙏Ubarikiwe mpendwa🙏🏽
UsitokeeNgoja nisubiri next time [emoji3]
Ziongeze tu mradi haziniletei sumu mwilini😂Wanasema zinaongeza sijui nini kwenye mwili 🙊🙊🙊
Basi nitakutumia kesho hizo Korosho zako, ila uwe makini na akina 9.8ms squared wasije kukuibia
Nimeshakuwekea order babu wakutengenezee special for you na bibi yetu kipenzi.Thanks Mjukuu wangu, fanya unitumie hayo mafuta ya masaji Mjukuu🤪🤪
Hakika nitakupa zawadi ya mashamba yote uyamiliki, najua utayatunza kama unavyomtunza Babu yako🤪Nimeshakuwekea order babu wakutengenezee special for you na bibi yetu kipenzi.
Yakiwa tayari tu nakuletea mweyewe hapo kijijin.
Hahahaha......sawa Mjukuu mzuriZiongeze tu mradi haziniletei sumu mwilini😂
Asante babu nitakua stand mapema kuzipokea.
Hahahaaa hilo usiofu, mjukuu wako niko salama hawawezi kuniiba labda tuibiane😛
PoleeeWanikumbushia nywele zangu jamani [emoji17]
Aah nilishatoka mkuuUsitokee
Na usisahau kuselfika
Nitayatunza na kuyaendeleza vema kabisa babu, nadhani unanijua vizuri mjukuu wako.Hakika nitakupa zawadi ya mashamba yote uyamiliki, najua utayatunza kama unavyomtunza Babu yako🤪
Hahaaa ww noma!Hahahaha.......... mwenyewe hiyo ilikuwa miaka 10 iliyopita[emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwakweli[emoji23][emoji23]Kesho nayo siku [emoji3][emoji3]