Hapana. Hayana harufu. Na kama haya organic hayauzwi madukani. Ni mpaka kuyaagiza moja kwa moja kutoka kwa watengenezaji ila ni mazuri sana. Imagine yanalainisha hata ngozi ya uso wa mzee wa miaka 76...na nasikia yanafuta kabisa stretch marks aka michirizi ya utamu - kwa wasiopenda....